Sababu za watu kutoitikia ‘shikamoo’ Heshima ni jambo lenye thamani katika utamaduni wa Kiafrika, hasa mdogo anapoanza kumsalimu kwa ‘shikamoo’ mtu mwenye umri mkubwa kuliko yeye.
Wanafunzi wenye ulemavu wa kutosikia wapewa msaada kuchochea uandishi vitabu Msaada huo umehusisha fulana maalumu za ‘Mjue Mtunzi’ pamoja na kalamu kama kielelezo cha kutoa motisha katika tasnia ya uandishi vitabu nchini.
Utafiti dawa ya kansa kicheko Madaktari ulimwenguni kote wanaendelea kukuna vichwa vyao kwa matumaini kwamba mafanikio ya hivi karibuni katika majaribio ya dawa za saratani yataidhinishwa.